Alex Sanchez mchezaji tegemezi wa club ya Arsenal licha ya
kupata kipato chake kutoka kwenye soka lakini hatumii muda wake wa
akiwa nyumbani kuangalia soka hata siku moja. Unaweza kusema kwamba
anaweza kuwa nyumbani anaangalia timu nyingine zinavyocheza au kucheza
PlayStation lakini sivyo hivyo.
Sanchez ameongea kwenye Youtube channel ya Arsenal na
kusema kwamba akiwa nyumbani ni muda wake wa ku-connect na familia na
ku-disconnect na mambo ya soka aweze ku-relax. “Mimi sio mpiga
kinanda professional lakini kinanisaidia ku-relax. Kwa kawaida siku
yangu nzima inazungukwa na soka, sasa nikiwa nyumbani sijihusishi na
soka inanisaidia ku-disconnect na mambo ya soka na nikitu kizuri kwangu.
Nikienda nyumbani siangalii soka tena, nacheza na mbwa wangu na pia
kukaa na familia yangu. Hiyo inanisaidia kuwa mtu mpya na kuongeza nguvu
ambayo nataka kutoa uwanjani”
Alex Sanchez akiwa nyumbani hafanyi kitu hiki hata siku moja.
Reviewed by Unknown
on
1:55 PM
Rating:
Reviewed by Unknown
on
1:55 PM
Rating:

No comments: