Tetesi
zimezidi kuvuma na zimekwenda mbali zaidi kwa kusema kuwa wasanii wa
kike wale wakali bongo ili waweze kufanya video nzuri na waongozaji
wakubwa zaidi pia wanatoa rushwa hiyo ya ngono.
Kipindi cha Enews kinachorushwa na East Africa Television kilitaka kufahamu kama kuna ukweli wasanii hao wa kike huhonga ngono ili wafanyiwe kazi nzuri kwenye hizo kampuni kubwa, Linah Sanga ambaye hata yeye amefanikiwa kufanya videos na waongozaji wakubwa wa video barani Afrika akiwepo Godfather alikuwa na haya ya kusema.
"Sijui kama ipo hivyo sababu mimi kama msanii wa kike sijawahi kufanya kitu kama hicho, kwa hiyo sidhani kama hicho kitu ni cha kweli kwa sababu ukifuatilia kwa wasanii wakubwa wa kike ambao tumeweza kufanya kazi na madirectors wakubwa kama God Father na wengine ni mimi, Vanessa, labda na Aika kwa sasa hivi ambao tayari tumeshatoa kazi zetu, kwa hiyo sidhani kama hicho kitu ni kweli kwa sababu tunafanya kazi na kazi zinalipa ndiyo maana tunaweza kufanya kazi na watayarishaji wakubwa kama hivyo". Alisema Linah Sanga. Tafadhali Bofya Hapa Ku Download Application Yetu Ili Usipitwe na Stori Zote Tunazoweka Hapa Kila Siku pia Burudani Kibao.

Linah Sanga Amewahi Kutoa Rushwa ya Ngono ? Ipo Hapa
Reviewed by Unknown
on
2:25 AM
Rating:
Reviewed by Unknown
on
2:25 AM
Rating:

No comments: