SHUGHULI ALIYOIFANYA SAMATTA DHIDI YA CHAD

Jana Stars ilipata ushindi wa bao 1-0 ugenini dhidi ya Chad katika harakati za kuwania kufuzu kucheza michuano ya mataifa ya Afrika mwaka 2017.
Bao pekee lililoipa Stars ponti tatu lilifungwa na nahodha mpya wa kikosi hicho Mbwana Samatta ambaye alikuwa anacheza kwa mara ya kwanza kama nahodha Stars tangu kuteuliwa kwake.
Stars itacheza mchezo wa marudiano dhidi ya Chad March 24 siku ya Jumatatu ya Pasaka kwenye uwanja wa taifa.


BY: MOHAMMED KITALAMBO
SHUGHULI ALIYOIFANYA SAMATTA DHIDI YA CHAD  SHUGHULI ALIYOIFANYA SAMATTA DHIDI YA CHAD Reviewed by Unknown on 1:46 PM Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.