Member wa Spice Girl, Melanie Janine Brown aka Mel B amefurahi baada ya Adele kuimba cover ya wimbo wao wa ‘Spice Up Your Life’ kwenye show yake ya Amsterdam.

Ijumaa iliyopita Adele alifanya show huko Amsterdam na kuimba cover hiyo. Adele alisema “Stop it, I’m not a Spice Girl, Spice Girls, Colours of the world, spice up your life, every boy and girl, spice up your life, people of the world, spice up your life” before saying, “Oh you lot are great.”
Baada ya show hiyo kumalizika kupitia akaunti ya twitter, Mel B aliandika: “ RT @AdeleNowuk: Adele having a Spice Girls moment. #AdeleLive2016.” Naye Geri Halliwell member mwingine wa Spice Girls aliandika: “Go Adele.”
Kwa sasa Adele yupo kwenye ziara yake ya dunia aliyoipa jina la ’25 World Tou
Tazama hapa:
Video: Adele awashangaza Spice Girls kwenye show yake ya Amsterdam
Reviewed by Unknown
on
12:46 PM
Rating:
Reviewed by Unknown
on
12:46 PM
Rating:
No comments: