
Ila hali imekuja kuonekana ndivyo ikawa sivyo kwa mwimbaji Harmonize baada ya kuonekana alimkashifu DJ K Flip ambaye ameshawahi kufanya kazi na wasanii wakubwa kwenye show mbalimbali akiwemo Diamond Platnumz, Weusi, Tekno, Izzo Bizness, Godzilla na wasanii wengine.
Kwa Harmonize kazi ikawa tofauti baada ya Dj K Flip kuambiwa kuwa anazinguwa na msanii huyo kitu ambacho kimemsababisha apeleke malalamishi yake kwenye ukurasa wake wa Instagram kwakuandika "Sijawahi kuacha show ya msanii yeyote hewani ila Jana I did manake @harmonize_tz aliniita DJ ANAEZINGUA na kwenye historia yangu sijawahi kuitwa hivyo na waliokuepo ilikua Kama ushahidi maana hata @diamondplatnumz nimemdj ila hakunifanyia Kama alivyofanya @harmonize_tz nimefanya shows na artist wengi wakiwemo #WEUSI for 4 years @teknomiles @iamseyishay @robertozambia @redsan @joh_makini @izzo_biznesss @godzilla @barakah_daprince @gnakowarawara na wengine wengi.....sjawahi kumzingua artist especially upcoming kama wewe"
Harmonize Amzalilisha DJ K Flip Aliyewahi Kufanya Kazi na Wasanii Kama Diamond, Weusi na Tekno
Reviewed by Mzansi
on
3:52 AM
Rating:
Reviewed by Mzansi
on
3:52 AM
Rating:

No comments: