Baada
ya Msanii mkongwe kwenye Bongo fleva Juma Nature kufunguka kwenye
kipindi cha Friday Night Live (FNL) na kusema kuwa anaitaji show moja
tu uwanja wa taifa ambayo itamkutanisha yeye na msanii Diamond Platnumz.
Pamoja
na kujua kwamba Diamond yuko juu,msanii huyo alisema kuwa anaamini
kwamba yeye (Juma) ndiye mwenye uwezo,kumkabili na kumshinda iwapo
utaandaliwa mpambano.
Nature alisema kuwa kuna watu wanadhani amechoka kimuziki,hivyo hana ubavu wa kusimama jukwani na Mondi.
”Niko tayari kupambana na Diamond,nina uhakika naweza kufanya vizuri ”,alisema
BY : MOHAMMED KITALAMBO
Juma Nature Adai Anaweza Kumtuliza Diamond Chini Anaitaji Naye Show Moja Tu.
Reviewed by Mzansi
on
8:26 AM
Rating:
No comments: