SIKILIZA Wimbo Mpya wa Chris Brown Aliomshirikisha Wizkid Kutoka Nigeria


Good news kwa wasanii Afrika kuzidi kufanya vizuri katika tasnia nzima ya muziki ambapo wizkid amezichukua Headlines leo June 30 2016  kupitia kituo kikubwa cha kimataifa  MTV Base wameripoti kuwa Wizkid amefanya collabo msanii wa marekani  Chrisbrown kwenye hit yake mpya iitwayo “SHABBA”. 

SIKILIZA Wimbo Mpya wa Chris Brown Aliomshirikisha Wizkid Kutoka Nigeria SIKILIZA Wimbo Mpya wa Chris Brown Aliomshirikisha Wizkid Kutoka Nigeria Reviewed by Unknown on 1:44 AM Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.