Video: Mashabiki walivyovunja show Kanye West mjini New York

Wikiendi hii rapper, Kanye West alilazimika kuvunja show yake baada ya mashabiki kuwa wengi zaidi na kupelekea kuvunjika kwa show hiyo kutokana na hofu ya usalama.
13319707_992084217571814_1948828614196625659_n
Show hiyo iliyofanyika kwenye ukumbi wa Webster Hall, New York ilihudhuriwa na mashabiki zaidi ya 4000 huku ukumbi huo ukiwa na uwezo wa kuchukua mashabiki 1500 tu hali iliyopelekea waanzishe fujo na kuharibu mali za watu.
Hata hivyo Kanye West amepanga kufanya show nyingine kwa kushtukiza baada ya hii ya New York kuvunjika.
tazama hapa:

Video: Mashabiki walivyovunja show Kanye West mjini New York Video: Mashabiki walivyovunja show Kanye West mjini New York Reviewed by Unknown on 1:12 PM Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.